SEKTA YA AFYA ZANZIBAR NI YA KUPIGIWA MFANO

Lusi Nikolaieva Raia wa Ukraine ameisifu Sekta ya Afya Zanzibar kwa kuwekeza katika huduma ya Mama na Mtoto iliyomsaidia kujifungua salama hapa Zanzibar tofauti na mategemeo yake 

Amesema Wanawake wa ndani na nje hawana haja ya kuwa na wasiwasi kwani uwekezaji wa Zanzibar katika Hospital za Serikali ni sawa na Hospital binafsi Bara la Ulaya 

Moja ya Watu aliowataja Lusi katika safari yake ya kupata huduma bora ni Muuguzi Maryam na hapa anatueleza hatua hiyo ilivyompa uzoefu na kuongeza maarifa kwa kujisikia fahari katika kazi yake 

RAIS SAMIA AMEMUASILI MTOTO ALIYETELEKEZWA TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuasili Mtoto mchanga wa kike aliyekuwa ametupwa na kutelekezwa huko Wilayani Nzega Mkoani Tabora.

Shughuli ya kumuasili Mtoto huyo imefanyika leo Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Subscribe to
 

Simplenews subscription

The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.