TANESCO YAJIPANGA KUHUDUMIA VITONGOJI 400, HANANG
Shirika la umeme Tanzania (Tanesco) Wilayani Hanang Mkoani Mnayara limejipanga kuboresha huduma za matengenezo na maboresho ya huduma za umeme katika vitongoji zaidi ya 400 baada ya kupatiwa gari la mtambo linalotoa huduma mbali mbali ikiwemo kubadilisha nguzo na mashine umba maarufu kama transfoma.


