Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu

Erling Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu kutoka kwa FA kwa ukosoaji wake wa mwamuzi Simon Hooper kufuatia sare ya 3-3 kati ya Manchester City na Tottenham Jumapili.

Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uingereza alikasirika wakati wote wa mchezo huo wa Etihad wakati Hooper alipolipua kwa kumchezea rafu raia huyo wa Norway.

Katika sekunde za mwisho za mchezo, Haaland alichezewa vibaya [foul] lakini mwamuzi alicheza vyema lakini, Mnorwey huyo alipocheza na mwenzake Jack Grealish kupijipatia bao, Hooper kisha akaitaja kuwa faul

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatazamiwa kurejea kwa kesi yake ya muda mrefu ya tuhuma nyingi za ufisadi, baada ya kusimama kwa sababu ya vita huko Gaza.

Mahakama mjini Jerusalem inatazamiwa kuanza kusikiliza kesi hiyo, ambayo inaangazia mashtaka kadhaa ya ufisadi dhidi ya Netanyahu, siku ya Jumatatu, kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Israel. Kesi hiyo ilisitishwa kwa amri ya dharura kutoka kwa waziri wa sheria wa nchi hiyo kufuatia shambulio la Hamas dhidi ya Israel tarehe 7 Oktoba.

Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wametembelea skuli ya Maandalizi ya Awali ya Kikaangoni Wilaya ya Maagharibi

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Makamu Mwenyekiti wake Bi.Susan Liautaud kulia wametembelea skuli ya Maandalizi ya Awali ya Kikaangoni Wilaya ya Maagharibi.

klabu ya Man United ni suala la wachezaji wake kuchelewa mazoezini

Kiungo wa zamani wa Manchester United na Chelsea, Nemanja Matiç raia wa Serbia amesema kuwa moja ya kitu kipya alichokutana nacho alipojiunga na klabu ya Man United ni suala la wachezaji wake kuchelewa mazoezini.

Matic ameeleza kuwa wakati akiwa Chelsea wachezaji wote walikuwa professional na walikuwa wakifika mazoezini kwa wakati lakini United ilikuwa tofauti licha ya kuwekwa adhabu ya faini kwa wale wanaochelewa.

MAUAJI YA BILIONEA MSUYA: Niliona wakimpiga risasi, kutoroka na bodaboda-2

Agosti 7, 2023 jiji la Arusha na miji ya Moshi na Mirerani ilitikiswa na taarifa za kuuawa kwa kupigwa kwa risasi, mfanyabiashara maarufu wa madini, Erasto Msuya maarufu kwa jina la Bilionea...

Subscribe to
 

Simplenews subscription

The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.