klabu ya Man United ni suala la wachezaji wake kuchelewa mazoezini

Kiungo wa zamani wa Manchester United na Chelsea, Nemanja Matiç raia wa Serbia amesema kuwa moja ya kitu kipya alichokutana nacho alipojiunga na klabu ya Man United ni suala la wachezaji wake kuchelewa mazoezini.

Matic ameeleza kuwa wakati akiwa Chelsea wachezaji wote walikuwa professional na walikuwa wakifika mazoezini kwa wakati lakini United ilikuwa tofauti licha ya kuwekwa adhabu ya faini kwa wale wanaochelewa.

Subscribe to sports
 

Simplenews subscription

The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.