WAAJIRI NCHINI KUWAHAMASISHA WATUMISHI KUJAZA MFUMO PEPMIS

MHANDISI ZENA AHMED SAID

Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zena Said amewaelekeza waajiri wote Nchini kupitia Mtandao wa mameneja rasilimali Watu Barani Afrika Tawi la Tanzania kuendelea kuwahamasisha Watumishi kujaza Mfumo Pepmis kama Takwa la Kisheria. 

Ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano wa Mtandao wa Mameneja Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma Barani Afrika Tawi la Tanzania unaoendelea Jijini Arusha ambapo amesisitiza kuendelea kufuata miongozo kanuni na SheriaKatibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi Umma na Utawala bora ameelezea umuhimu Mtandao wa Mameneja Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma Barani afrika Tawi la Tanzania.

Meneja rasilimali watu mfuko wa hifadhi ya jamii Gloria Godfrey amesema watakeleza maelekezo yote yaliotolewa na Viongozi

Ya Jamii (PSSSF)

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.