WEMA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA VYUO VIKUU VYA CHINA

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali imesema ujio wa Wageni kutoka Chuo cha Hunan  Nchini China kutaendeleza Ushirikiano wa Kielimu  Zanzibar

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mh Leila Muhammed Mussa amesema hayo Ofisini  kwake Mazizini wakati alipokuwa akizungumza na Wageni kutoka Chuo Kikuu cha Khunan Nchini China.

Amesema mambo mbali mbali wamekubaliana nao ikiwa ni pamoja kueka ushirikiano Mzuri katika mazingira ya Elimu kwa Wanafunzi wa Maandalizi, Secondari na Chuo Vikuu mbali mbali vilivyopo  Nchini

Makamo wa Raisi kutoka  Chuo Kikuu cha Hunai kutoka Nchini China  Wangu Weibin amesema lengo la  ni kujenga Ushirikiano na Vyuo Vikuu na sehemu nyengine ambapo hadi sasa tayari ya washaungana na Vyuo Vikuu zaidi ya Mia Moja.

 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.