SPIKA WA BUNGE ATOA RAI KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI

SPIKA BUNGE

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (ipu) Dkt.Tulia Ackson ametoa rai kwa Waandishi wa Habari Nchini kuhakikisha wana ielimisha Jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi kutokana na kuwepo kwa athari zinazotokana na mafuriko.

      Dkt.Tulia ametoa rai hiyo Jijini Dodoma kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani wakati akizungumza na Waandishi wa Habari,Wadau wa habari wakiwemo Viongozi wa Serikali na Asasi za Kiraia.

     Kwa upande Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Nape Nnauye amewataka  Waandishi wa Habari kutenda haki wakati wakiripoti  Taarifa za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kujali Vyama vyao.  

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.