MAAFISA UTUMISHI WAMETAKIWA KUTOA MAFUNZO KATIKA TAASISI ZAO

Utumishi

    Kuwepo kwa Mafunzo ya Wafanya kazi wa Taasisi za Umma yatachangia uwelewa na kutambua stahiki za Wafanyakazi.

      Akifunguwa Mafunzo kwa Maafisa Utumishi na Maafisa Mafunzo wa Taasisi za Utumishi wa Umma Mkurugenzi Idara ya Mipango ya Rasilimali Watu Ndg.Maulid Shaib Ahmada amesema kuwepo kwa Mafunzo kwa Maafisa hao kutasaidia kufanya kazi kwa bidii katika Sekta zao za kazi.

     Washiriki katika Mafunzo hayo wameiomba Serikali kupitia Afisi Dhamana ya Utumishi kuwapa nafasi za Mafunzo katika Taasisi zao ili kuwajengea uwezo wa kiutendaji Wafanya kazi kwa kila Sekta.

 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.