FEDHA NI NYENZO YA KUENDESHA TAASISI .

NAIBU WAZIRI JUMA MAKUNGU

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Juma Makungu Juma, amesema Kazi kubwa ya wizara hiyo ni mipango ya kukusanya Fedha na kutumika, kwani hakuna litakalokwenda bila ya Fedha.

Hayo ameyaeleza katika KIkao cha kujitambulisha tokea kuteuliwa kwake kwa Wafanyakazi na Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara hiyo, Kikao kilichofanyika katika Ukumbi Gombani Mjini Chake Chake.

Amesema bila ya Fedha mipango ya Taasisi hazitaweza kwenda na machoyao wanaitizama Wizara hiyo, ili ziweze kutekeleza Kazi zao.

Afisa Mdhamini Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Pemba Abdulwahab Sadi Abuubakar, alikua na haya ya kueleza juu ya suala la mapatoa.

Nao Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara hiyo Pemba, walikua na haya ya kueleza.

Naibu huyo alipata nafasi ya kukutana na Uongozi wa ZSSF, Bima, ZRA, TRA, Mtakuwimu Mkuu wa Serikali, Mhasibu Mkuu wa Serikali, PBZ, Tume ya mipango, Mamlaka ya Ununuzi na uondoaji wa Mali za Umma, 

stories
standard
 
The subscriber's email address.
Stay informed - subscribe to our newsletter.